Simba waishtaki Al-Merrikh kwa CAF

Klabu ya Simba imeutaarifu Umma kuwa Imepeleka barua Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika kuomba uchunguzi kuhusu Klabu ya Al-Merrikh ya Sudan kuwachezesha wachezaji waliofungiwa.